Skip to main content

JINSI YA KUFUFUA FLASH DISK, HARD DISK NA MEMORY CARDS ILIYOKUFA

Jinsi ya kufufua Flash Drive, Hard disk na Memory card iliyokufa





Flash drive, Hard disk na Memory card zikiwa hazisomi huleta ujumbe wakukutaka u-format na uki-format inakuandika 'windows is unable to format" au unasikia mlio lakini ukienda kwenye my computer huoni partition ya flash drive, Hard disk au memory card yako

Hatua za kufuata ili uweze kufufua flash drive, Hard disk na memory card

Njia ya kwanza

1. Bonyeza window button + E kisha right click kwenye my computer au This computer kisha bonyeza Manage


2. Bonyeza Disk Management. Right click kwenye partition ya hard disk, memory card au flash drive. Chagua change drive letter and paths


3. Bonyeza change kisha chagua herufi kwenye kibox cha Assign the following driver letter kisha bonyeza OK.



Njia ya pili

Njia hii itakusaidia kuformat flash drive, memory card au hard drive yako pindi windows is unable to format

Flash drive na memory card

Jinsi ya kufufua Flash drive na Memory Card

1. Bonyeza window button + X kisha chagua command prompt (Admin)


2. Itafunga command Prompt.


Hapo andika maneno haya kwenye CMD
- Diskpart kisha bonyeza Enter
- List disk bonyeza Enter. Itakuonyesha list za disk zote kwenye computer yako. Chagua disk unayotaka kuformat yangu ni disk 1
- Select disk 1 bonyeza Enter
- Clean bonyeza Enter
- Create partition primary bonyeza Enter
- Select partition 1 bonyeza Enter
- Active bonyeza Enter
- Format fs=fat32 bonyeza Enter
- Exit bonyeza Enter

Mpaka hapa itakuwa tayari

Hard disk 

- Diskpart kisha bonyeza Enter
- List disk bonyeza Enter. Itakuonyesha list za disk zote kwenye computer yako. Chagua disk unayotaka kuformat yangu ni disk 1
- Select disk 1 bonyeza Enter
- Clean bonyeza Enter
- Create partition primary bonyeza Enter
- Select partition 1 bonyeza Enter
- Active bonyeza Enter
- Format fs=ntfs label=WC-Drive quick bonyeza Enter
- Assign letter=W Bonyeza Enter
- Exit bonyeza Enter

Jinsi ya kuformat computer yote

Hapa utaweza futa kila kitu kilichopo kwenye computer yako kuanzia doc, Audio, Video n.k mpaka windows utaifuta kwahiyo itakuhitaji kuinstall windows upya.

Hatua za kufuata

1. Zima computer yako
2. Washa computer yako na bonyeza SHIFT+F10 kwa pamoja bila kuachia
3. Itawaka kwenye CMD (Command Prompt). Andika haya maneno kwenye CMD
- diskpart bonyeza Enter
- list disk bonyeza Enter
- select disk 0 bonyeza Enter
- clean bonyeza Enter
- convert GPT bonyeza Enter
- Exit bonyeza Enter

Comments

Popular posts from this blog

SASA JIUNGE NA MAGROUP YA WHATSAPP VYUO VIKUU VYOTE

Magroup ya whatsApp ya vyuo vikuu vyote nchini Tanzania Haya ni magroup ya whatsApp ya wanavyuo vyote nchi Tanzania. Haya magroup yatakusaidia kufahamiana na wanachuo wenzako uwapo chuoni. Pia kupitia magroup haya utaweza kupata notisi za course mbali mbali zinazofundishwa chuoni. University of Dodoma (UDOM) - First Year   https://chat.whatsapp.com/At4tIPmm7XL1JO1in2gooz - Second Year  https://chat.whatsapp.com/VxNFT5KfNwF3jCP9nKMxZ5 - Third Year  https://chat.whatsapp.com/FtLMmJCalAnHP7OXjOypNB BAED First year  https://chat.whatsapp.com/MN3LRxpw0gILjlL1VZaWJo         Second Year  https://chat.whatsapp.com/U2f9p3u7kii72ifwSVDQFd         Third year  https://chat.whatsapp.com/HjTv3PTmu6sD1rYaSc2g77 COED - BEDPPM, BEDGUCO      First year  https://chat.whatsapp.com/S7MrbXmIH172JMfAWCB8Y8      Second year  https://chat.whatsapp.com/TTPkP6QwqKVCQWcajp75Re      Third year     https://chat.whatsapp.com/MHYl9WstIJhQnBfHutueu89 University of Dar es Salaam (UDSM) First ye