Skip to main content

PAKUA APP ZA KULIPIA PLAYSTORE BURE!

Download Application za kulipia kutoka Google Play store bure


Hizi ni apps zitakazokuwezesha kudownload application zinazouzwa play store bure. Kuna app zinazouzwa play store kama poweramp na zingine kwahiyo kupitia hizi app utaweza kudownload bure. Hizi apps ni mbadala wa Google Play store. Website bora za kudownload Games kwenye simu yako

Zifuatazo ni apps zinazotumika kama mbadala wa Google Play store ila hizi utaweza kudownload app yoyote inayouzwa Google play store bure.

Aptoide


Hii ni app itakayokuwezesha kudownload apps mbali mbali kwa ajili ya simu yako. Download Aptoide apk kisha install kwenye simu yako.

Blackmat


Blackmart Alpha Android ni app itakakusaidia kupata app nyingi za kulipia bure. Hakuna malipo yoyote kudownload paid app kwenye Blackmart Alpha Android. Download Blackmat apk na install kwenye simu yako uanze kufurahia ulimwengu wa app

Acmarket


Hii ni moja ya app itakayokupa paid apps bure yaani utaweza kudownload paid apps zinazopatikana Play store bure. Acmarket apk ni mbadala wa Google play store

4shared

4shared apk ni app itakayokuwezesha kudownlod paid application bure bila malipo yoyote. Download na install kwenye simu yako na uanze kufurahia ulimwengu wa paid application.

Comments

Popular posts from this blog

NJIA KUMI USIZOZIJUA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI

Jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni $ 10 kila siku Watu wengi huwa hawahamini kama unaweza kutengeneza pesa online / mtandaoni. Kuna watu wanatengeza USD 2000 kwa mwezi ambayo kibongo bongo ni pesa ndefu. Kama wewe ni mtumiaji wa internet ni muda muafaka wa kupiga pesa mtandaoni.  1. SURVEY  Kumbuka utakapoulizwa je, una ndugu, jamaa au rafiki anayefanya kazi kwenye makampuni ya matangazo? Ukijibu ndiyo biashara imeishia hapo maana utakuwa haujaqualify. Unatakiwa ujibu Hapana. Hizi website ni za uhakika wa 100% hakuna longo longo.  1. PREMISE Huu ni mmoja ya site nzuri ya kupiga pesa kwa survey na pesa yako unaweza kudraw kwa njia ya Mpesa au Tigo pesa. Download  Premise apk na install kwenye simu yako na kisha jaza detail zinazohitajika baada ya hapo utaanza kufanya tasks. Ikiomba Location fungua GPS kwenye simu yako Hapo unaibonyeza hiyo task halafu itatokea neno reserve. Ukibonyeza kwenye reserve inakuwa yako kwa masaa 8. Nakushauri usi-reserve task...

SASA JIUNGE NA MAGROUP YA WHATSAPP VYUO VIKUU VYOTE

Magroup ya whatsApp ya vyuo vikuu vyote nchini Tanzania Haya ni magroup ya whatsApp ya wanavyuo vyote nchi Tanzania. Haya magroup yatakusaidia kufahamiana na wanachuo wenzako uwapo chuoni. Pia kupitia magroup haya utaweza kupata notisi za course mbali mbali zinazofundishwa chuoni. University of Dodoma (UDOM) - First Year   https://chat.whatsapp.com/At4tIPmm7XL1JO1in2gooz - Second Year  https://chat.whatsapp.com/VxNFT5KfNwF3jCP9nKMxZ5 - Third Year  https://chat.whatsapp.com/FtLMmJCalAnHP7OXjOypNB BAED First year  https://chat.whatsapp.com/MN3LRxpw0gILjlL1VZaWJo         Second Year  https://chat.whatsapp.com/U2f9p3u7kii72ifwSVDQFd         Third year  https://chat.whatsapp.com/HjTv3PTmu6sD1rYaSc2g77 COED - BEDPPM, BEDGUCO      First year  https://chat.whatsapp.com/S7MrbXmIH172JMfAWCB8Y8      Second year  https://chat.whatsapp.com/TTPkP6QwqKVCQWcajp75Re ...