Skip to main content

NJIA KUMI USIZOZIJUA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI

Jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni $ 10 kila siku


Watu wengi huwa hawahamini kama unaweza kutengeneza pesa online / mtandaoni. Kuna watu wanatengeza USD 2000 kwa mwezi ambayo kibongo bongo ni pesa ndefu. Kama wewe ni mtumiaji wa internet ni muda muafaka wa kupiga pesa mtandaoni. 

1. SURVEY 

Kumbuka utakapoulizwa je, una ndugu, jamaa au rafiki anayefanya kazi kwenye makampuni ya matangazo? Ukijibu ndiyo biashara imeishia hapo maana utakuwa haujaqualify. Unatakiwa ujibu Hapana. Hizi website ni za uhakika wa 100% hakuna longo longo. 

1. PREMISE

Huu ni mmoja ya site nzuri ya kupiga pesa kwa survey na pesa yako unaweza kudraw kwa njia ya Mpesa au Tigo pesa. Download Premise apkna install kwenye simu yako na kisha jaza detail zinazohitajika baada ya hapo utaanza kufanya tasks. Ikiomba Location fungua GPS kwenye simu yako

Hapo unaibonyeza hiyo task halafu itatokea neno reserve. Ukibonyeza kwenye reserve inakuwa yako kwa masaa 8. Nakushauri usi-reserve task kabla ya saa 12 alfajiri kwasababu utakataliwa.

2. GEOPOLL

Hii ni pia bonge la survey site ya kupiga pesa mtandao. Download Geopoll apk na install  kwenye simu yako kisha anza kutengeneza pesa

3. SPENN

Hii ukialika mtu unapata 2000 na unayemualika anapata 1000. Download Spenn apk na install  kwenye simu yako

4. MOBIWORKX

Hii ni pia bonge la survey site ya kupiga pesa mtandao. Download Mobiworkx apk na install kwenye simu yako kisha anza kutengeneza pesa

5. PILLOWBUX

Ingia kwenye website ya Pillowbux. Tengeneza account kisha anza kutengeneza pesa

Other

DENT APP 

Hii inatoa vocha za simu bure kama Vodacom, TCCL, na Halotel ukijiunga. Pia unaweza kutengeneza link ambayo kila mtu akiitumia hiyo link kudownload na akijiunga utapewa 1000 kwa kila atakayejiunga na app ya Dent. Download Dent apk na install kwenye simu yako ili upate vocha bure

2. BLOGGING

1. Jinsi ya kutengeneza blog  bila malipo yoyote hatua kwa hatua

2. Jinsi ya kuweka template kwenye blog yako. Japokuwa Blog zinakuwa na default Template lakini zinakuwa siyo nzuri kwa muonekano.

3. Jinsi ya kuweka free custom domain bure kwenye blog yako

Ili uweze kutengeneza pesa kupitia blogging lazima ujiunge na  Ads network company kama vile Google Adsense, Infolinks, Propeller na zingine

Unaweza kuweka matangazo ya kampuni mbili kama vile Adsense na Propeller kwenye blog yako. Ila ni vizuri ukatumia kampuni mmoja kama ni propeller au Adsense 

1. Adsense

Hawa wanalipa kwa traffic ya nchi yoyote ile ila sharti content zako ziwe za kiingereza. Jinsi ya kukubaliwa na Google Adsense kwa urahisi zaidi. Jiunge na Google adsense now. Jinsi ya kukubaliwa na Google Adsense kwa haraka zaidi

2. Propeller Ads

Hawa hawana masharti na huwa hawafungii blog au website yako na wanaruhusu lugha yoyote ile. Propeller ads unajiunga siku hiyo hiyo na unakubaliwa siku hiyo hiyo na haina masharti yoyote na haufungii. Kwa sasa Propeller wanakubali Blog zenye custom domain kama .com, .tk nk. Jinsi ya kupata free custom bure na kulink na blog yako

Jinsi ya kujiunga na Propeller Ads hatua kwa hatua. Tengeneza pesa na propeller Ads

3. Ad Now 
4. Adsterra 

Hizi zinasupport content za kiswahili

5. Kwanza 

Wanalipa kwa mfumo wa CPM

6. Pinpoint Africa

Wanalipa kwa mfumo wa CPM na CPC

7. Seebait

Kujiunga ni rahisi sana na wanalipa kwa mfumo wa CPM na hawangalii idadi ya Views. Wanatumia code kama za 
Adsense ila zao zipo kwenye mfumo wa javascript

8. News 

Kujiunga ni rahisi sana na wanalipa kwa mfumo wa CPM

Pia kwenye Blog au website yako unaweza kuingia makubaliano na makampuni kama vile Vodacom, Tigo, Cocacola n.k ili kuonesha matangazo yao na wanakulipa hata mtu binafsi pia anaweza kutangaza biashara yake kupitia blog au website yako.

3. YOUTUBE

Jinsi ya kutengeneza Youtube account na kupata pesa kupitia Youtube channel

4. FREELANCING

Hizi ni site ambayo hutumika mtu kuuza ujuzi (Kufanya kazi za watu mbali mbali mtandaoni) kulingana na uhitaji na ubobezi wako. Mtu anaweza kutafuta translater, lawyer, Dr, Technician n.k 

Website za Freelancing ni

UpWork.com
Freelance.com
Fiverr.com

5. AFFILIATE MARKETING

Hii ni site ambayo hutumika kupromote bidhaa za watu. Wewe unawashawishi watu wanunue bidhaa kwahiyo wakishanunua unapewa commission kwa kila bidhaa itakayonunulia.

Jiunge na Click bank ili uweze kutengeneza pesa kupitia affiliate marketing

6. ARTICLE WRITING

Hapa utaweza kuandikia watu makala (Articles) kwenye blog au website zao kulingana na keyword zinatumika sana kwenye Google search engine (SEO). Kuna watu wengi sana wanahitaji kuandikiwa ila hawajui waanzie wapi.
Njia nzuri ya kujitangaza ni kwenye mitandao ya kijamii kama Facebok, Quora, Twitter, Jamii Forum n.k

Important notice

Kumbuka msingi wa kupata fedha kupitia bloging ni traffic yaani watembeleaji hivyo kabla ya kuhangaika na kupata Ads Company gani inafaa hakikisha unayo traffic ya kutosha kupitia mitandao ya kijamii au SEO,  na iwe pure traffic. Unaweza kushare blog yako kupata watembeleaji kwenye mitandao ya kijamii. Usijaribu kujiunga na scam online kupitia kitu kinaitwa uwekezaji mtandaoni yaani kununua watembeleaji au kufanya janja yoyote maana, utafungiwa. To make money online inabidi utulize akili na utambue nini unatakiwa kufanya. Usikurupuke, fikiria unataka ufanye nini, je, unataka uandike kuhusu masuala ya habari, Health, ajira, technology, Music, movies au kuuza na kununua vitu online? shughulika na kitu kimoja itakusaidia kuandika makala nyingi ila ukichanganya mambo utajikuta umeshindwa cha kuandika.

Kupiga pesa online ni jambo rahisi sana kama utaiset akili yako kwenye ubunifu katika kuandika makala, kutafuta traffic (watembeleaji) na kuangalia ni kampuni gani ni nzuri kwa matangazo na inayolipa. Usiandike kwa kufuata mkumbo. Tuliza akili na egemea kwenye jambo moja kama utajishughulisha na afya, ajira, technology, n.k

Utapata pesa yako kupitia Payoneer, Paypal na Western Union Bank si lazima uwe na bank account ili uweze kupewa pesa yako.


Comments

Popular posts from this blog

SASA JIUNGE NA MAGROUP YA WHATSAPP VYUO VIKUU VYOTE

Magroup ya whatsApp ya vyuo vikuu vyote nchini Tanzania Haya ni magroup ya whatsApp ya wanavyuo vyote nchi Tanzania. Haya magroup yatakusaidia kufahamiana na wanachuo wenzako uwapo chuoni. Pia kupitia magroup haya utaweza kupata notisi za course mbali mbali zinazofundishwa chuoni. University of Dodoma (UDOM) - First Year   https://chat.whatsapp.com/At4tIPmm7XL1JO1in2gooz - Second Year  https://chat.whatsapp.com/VxNFT5KfNwF3jCP9nKMxZ5 - Third Year  https://chat.whatsapp.com/FtLMmJCalAnHP7OXjOypNB BAED First year  https://chat.whatsapp.com/MN3LRxpw0gILjlL1VZaWJo         Second Year  https://chat.whatsapp.com/U2f9p3u7kii72ifwSVDQFd         Third year  https://chat.whatsapp.com/HjTv3PTmu6sD1rYaSc2g77 COED - BEDPPM, BEDGUCO      First year  https://chat.whatsapp.com/S7MrbXmIH172JMfAWCB8Y8      Second year  https://chat.whatsapp.com/TTPkP6QwqKVCQWcajp75Re      Third year     https://chat.whatsapp.com/MHYl9WstIJhQnBfHutueu89 University of Dar es Salaam (UDSM) First ye