Skip to main content

JINSI YA KURUDISHA DATA ZILIZOPOTEA KWENYE Computer yako

The Best Data Recovery kwa ajili ya Computer yako



Data Recovery ni software hutumika kurudisha mafile zako kama vile Audio, Video, Pdf na doc zingine kwenye computer yako baada ya kufutika au kuliwa na virus kwahiyo kupitia Data recovery utaweza kurudisha Data zako zote.

Jinsi ya kudownload Data Recovery kwa ajili ya computer yako. Download Winrar kwa ajili ya ku-extract file zako, Download uTorrent software kisha install kwenye computer yako. Download file la Data Recovery unayotaka kisha extract kwa kutumia winrar kisha double click file lako la utorrent. Na hapo itafunguka uTorrent Software. Kisha bonyeza Ok na file lako la Data Recovery litaanza kudownload. kama haujaelewa soma PDF hii Jinsi ya kudownload Data Recovery

DATA RECOVERY

Download 7 Data Recovery
Download Wondershare Data Recovery
Download iSkysoft iPhone Data Recovery 
Download Stellar Phoenix SQL Database Repair 
Download Recuva Professional 
Download EaseUS MobiSaver for Android 
Download EASEUS Data Recovery Wizard Professional Edition
Download Macrorit Data Wiper
Download Minitool Data recovery + Download Key for minitool data recovery
Download Hetman Data Recovery Pack 2.6 Commercial + Office + Home + Serial 
Download Wondershare Data Recovery for MAC


Comments

Popular posts from this blog

How to notice if your phone has been hacked

When your phone is hacked, there must be some unusual data access pattern for you to notice. Following are some of the signs that your device is hacked ∎ Check list of applications in your device, if you see applications which gets installed without your approval. ∎ Check battery usage, if it is infected by malware, it will poll for multiple service and will increase the energy consumption. ∎ Check the outbox and see if your device is sending SMS without your approval. ∎ Install the packet sniffer in your Wi-Fi network and disable 3G/4G mobile data access and carry out deep inspection of the packets. See what all information is being sent out from your device. ∎ Check out the data usage and compare it with the historical record, if your phone is hacked, you will see some extra charges, primarily due to data access and service consumption. ∎ Is your devices rooted by installing some app ? if Yes then your mobile device can carryout attacks and receive instruction...

HOW YOU CAN USE INTERNATIONAL PHONE NUMBER WHILE YOU ARE IN TANZANIA

persuar.blogspot.com This is how am gonna show you how to use abroad phone contact into your WhatsApp Requirement In doing so you are require to download one of the following Applications into your phone. TextPlus , T extnow , 2ndline , Nextplus HOW TO USE US contact into your contact 1. Download  TextPlus App  and  install it into your phone. 2. Then, open up an APP and click SIGN UP  Button. 3. After there you will need to add your email and passcode,then press continue 4. Then, Select your State and choose Wisconsin then click Select your area code, which is  608 then Get a Customer Number. From there you will have a Contact   HOW YOU GONNA USE SUCH CONTACT INTO YOUR WHATSAPP 1. Download  WhatsApp  and install into your phone if you have a WhatsApp it fine just continue by open your WhatsApp the follow all process of adding your contact, if you have already do so go to Wha...

JINSI YA KUWEKA MAANDISHI MDOGO ‘subtitle’ CHINI YA VIDEO AU FILAMU

Jinsi ya kuweka subtitle kwenye Movie au Series yoyote Kuna wakati unataka kuangalia movie au series ila ugumu unakuja kwenye lugha wanayotumia huenda wanatumia lugha ya kihindi, kichina, kikorea au lugha yoyote ile usiyoielewa. Sasa hapo inakuja ugumu wa kutafuta Subtitle na kuiweka kwenye movie yako.  Fuata hatua hizi kuweka Subtitle kwenye Movie au Series yako. Hakikisha una kifurushi cha internet angalau cha 100mb. Njia nzuri na rahisi ni ya kutumia VLC Media Player na ALLplayer. You may also like  Download Movie, Animation na Series nzuri wakati wote  SIMU Njia ya kwanza VLC Media player 1. Download  VLC apk  and install kwenye simu yako 2. Open movie au series unayoitaka 3. Tap kwenye Screen utaona ki-icon kama cha kutuma meseji, bonyeza hapo kisha tap on download subtitle. Hakikisha simu yako imeungwanisha na internet. Baada ya sekunde kadhaa utaona Subtitle inaonekana kwenye movie au series yako Njia ya pili Websites 1. I...