Skip to main content

JINSI YA KUWEKA MAANDISHI MDOGO ‘subtitle’ CHINI YA VIDEO AU FILAMU

Jinsi ya kuweka subtitle kwenye Movie au Series yoyote



Kuna wakati unataka kuangalia movie au series ila ugumu unakuja kwenye lugha wanayotumia huenda wanatumia lugha ya kihindi, kichina, kikorea au lugha yoyote ile usiyoielewa. Sasa hapo inakuja ugumu wa kutafuta Subtitle na kuiweka kwenye movie yako. 

Fuata hatua hizi kuweka Subtitle kwenye Movie au Series yako. Hakikisha una kifurushi cha internet angalau cha 100mb. Njia nzuri na rahisi ni ya kutumia VLC Media Player na ALLplayer. You may also like Download Movie, Animation na Series nzuri wakati wote 

SIMU

Njia ya kwanza

VLC Media player

1. Download VLC apk and install kwenye simu yako

2. Open movie au series unayoitaka

3. Tap kwenye Screen utaona ki-icon kama cha kutuma meseji, bonyeza hapo kisha tap on download subtitle. Hakikisha simu yako imeungwanisha na internet. Baada ya sekunde kadhaa utaona Subtitle inaonekana kwenye movie au series yako



Njia ya pili

Websites

1. Ingia kwenye website ya Subtitle TVsubtitles.net,  www.subscene.com, au www.freemoviesub.com, kisha download Subtitle inayoendana na format ya movie au series yako. Kwa series unadownload subtitle inayoendana na episode. Kama vile DVDrip, avi, xvdi, BRrip, Blueray, MP4, MKV, WEB n.k


2. Download Es file manager apk na install kwenye simu yako

3. Tumia Es file manager ku-extract file la subtitle uliyo-download. Utakuta file lako lina format ya srt

4. Nenda kwenye folder la Subtitile. Liandike jina sawa na movie au series yako. Mfano. Movie inaitwa Fallen Kingdom kwahiyo itakuwa Fallen Kingdom.srt na kwenye Series hivyo hivyo subtitle lazima iendane na jina la episode 

5. Kisha ihamishie Subtitle kwenye folder la movie au series yako. Kisha play movie yako au series utaona subtitle imeonekana kwenye movie au episode ya series yako

COMPUTER

Njia ya kwanza

ALLPLAYER

Hakikisha computer yako imeunganishwa na internet.

1. Download Allplayer na install kwenye computer yako. Tafuta movie au series unayotaka kuiangalia. Iplay hiyo Movie

2.  Right click kwenye Screen, kisha bonyeza kwenye Preferences. 


3. Click on Subtitles Server tab, kisha weka tick kwenye Automatically download subtitle na In case of missing subtitles, download the list of subtitles from openSubitles.org. Utaona subtitle imeanza kuoneka kwenye movie yako.


Njia ya Pili

VLC Media Player

1. Download VLC Media Player kisha install kwenye computer yako.

2. Fungua VLC Media PLayer na play movie au series yoyote.  Bonyeza kwenye View na kisha VLsub. 


3. Jina la Movie litatokea kwenye Title. Pia unaweza kuandika jina la movie yoyote au kupunguza jina la movie kama utasearch subtitle ukaikosa. Pia unaweza kuchagua lugha ya subtitle yako. Bonyeza Search by harsh
Au Search by name
4. Chagua Subtitle inayoendana na jina la movie yako kisha Bonyeza Download Selection. Baada ya sekunde kadhaa utaiona subtile kwenye Movie yako. 


Njia ya tatu

Website

1. Ingia kwenye website ya subtitle TVsubtitles.net,  www.subscene.com, au www.freemoviesub.com, na download subtitle inayoendana na format ya movie au series yako. Kwa series unadownload subtitleinayoendana na episode. Kama vile DVDrip, avi, xvdi, BRrip, Blueray, MP4, MKV, WEB n.k


2. Extract file lako kwenye computer (tumia winRar  au 7-zip ku-extract). Utakuta file lako lina extension ya srt

3. Lihamishe file lako wenye folder la movie au episode ya series unayotaka kuiangalia


4. kisha liandike jina sawa na movie au series (Episode) yako . Mfano. Movie inaitwa Fallen Kingdom kwahiyo itakuwa Fallen Kingdom.srt na kwenye series hivyo hivyo subtitle lazima iendane na jina la epsode au Right click katika movie wakati inaplay nenda subtitle then locate ilipo hiyo subtitle yako. Itaanza kuonekana kwenye Movie yako


You may also like Jinsi ya Kudownload Movie Kwenye Simu na Computer Kwenye Website Ya YTS Bure

Comments

Popular posts from this blog

How to ACTIVATE Microsoft office (20019) free

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2019 bure Website   August 23, 2019     Windows Mahitaji 1. Download  Microsoft Office Activator 2019 Hatua za kufuata ili uweze kuactivate Microsoft Office 2019 na kuitumia bure bila ya kulipia kwenye computer yako. Unatakiwa uzime antivirus ili uweze kudownload na kuactivate Microsoft Office 2019 1. Extract  Microsoft Office Activator 2019 , kisha right click kwenye Microsoft Office Activator 2019, na run as an Administrator (Hakikisha umeiunganisha computer yako na internet yaan una bundle la internet) 2. Itafunguka command prompt, itaanza kuactivate yenyewe, usiiguse mpaka imalize yenyewe. 3. Mpaka hapa utakuwa umesha activate Microsoft office 2019. Utaweza kutumia feature zote kwenye Microsoft office 2019. Kama unatumia window 10, sign up or sign in kwa email yako uweze kufurahia computer yako MICROSOFT OFFICE Download  Microsoft Office 365 activator  (Hatua ni zile zile za Micros...

How to Fix the SD card which fail to be formatted

General Causes for SD Card Won't Format   When a memory card runs into problems and needs to be formatted to function again, to a large extent, something goes wrong with the file system. For example, only FAT32 SD card can be used on some specified devices; SD card file system suddenly turns raw, and Windows cannot recognize it; SD card does not show up as a mass storage device but unallocated space, etc. However, it says formatting SD card will fix problems like these, but why did we fail to format SD card eventually? We arrived at some simple conclusions that may cause the issue of SD card won't format. ∎ SD card is write-protected so that Windows is not allowed to make changes to it;(See how to remove write - protection from the next post bellow) ∎ SD card is with bad sectors on it, so it becomes corrupted. Windows can't format corrupted SD card. ∎ Using the portable SD card storage media across multiple computers or card readers can be easily infected with ...

PAKUA APP ZA KULIPIA PLAYSTORE BURE!

Download Application za kulipia kutoka Google Play store bure Hizi ni apps zitakazokuwezesha kudownload application zinazouzwa play store bure. Kuna app zinazouzwa play store kama poweramp na zingine kwahiyo kupitia hizi app utaweza kudownload bure. Hizi apps ni mbadala wa Google Play store.  Website bora za kudownload Games kwenye simu yako Zifuatazo ni apps zinazotumika kama mbadala wa Google Play store ila hizi utaweza kudownload app yoyote inayouzwa Google play store bure. Aptoide Hii ni app itakayokuwezesha kudownload apps mbali mbali kwa ajili ya simu yako. Download  Aptoide apk  kisha install kwenye simu yako. Blackmat Blackmart Alpha Android ni app itakakusaidia kupata app nyingi za kulipia bure. Hakuna malipo yoyote kudownload paid app kwenye Blackmart Alpha Android. Download  Blackmat apk  na install kwenye simu yako uanze kufurahia ulimwengu wa app Acmarket Hii ni moja ya app itakayokupa paid apps bure yaani utaweza kudownload ...