Skip to main content

JINSI YA KUSOMA ‘COURSE’ ZA UDEMY BURE

Jinsi ya kusoma course yoyote ya Udemy bure



Kuna wakati unahitaji kusoma course fulani kama vile web design na zingine kwenye website ya Udemy.com lakini fedha hauna. Hii njia itakuwezesha kusoma course yoyote bila kulipia kiasi chochote che fedha yaani ni bure

Njia ya kwanza 

1. Ingia kwenye website ya udemy.com kisha register (sign up). Baada ya kuregister 



2. Ingia kwenye website ya disci udemy 



3. Chagua course yoyote unayotaka baada ya sekunde 3 utapewa link itakayokupeleka moja kwa moja kwenye website ya udemy kwenye course uliyochagua disciudemy.com. Hapo utaanza kusoma course uliyoichagua

Njia ya pili

1. Ingia kwenye website ya free tutorials


Kisha anza kusoma course yoyote ile unayotaka. Course zote ambazo zipo udemy ndizo hizo hizo zipo kwenye free tutorials


Comments

Popular posts from this blog

SASA JIUNGE NA MAGROUP YA WHATSAPP VYUO VIKUU VYOTE

Magroup ya whatsApp ya vyuo vikuu vyote nchini Tanzania Haya ni magroup ya whatsApp ya wanavyuo vyote nchi Tanzania. Haya magroup yatakusaidia kufahamiana na wanachuo wenzako uwapo chuoni. Pia kupitia magroup haya utaweza kupata notisi za course mbali mbali zinazofundishwa chuoni. University of Dodoma (UDOM) - First Year   https://chat.whatsapp.com/At4tIPmm7XL1JO1in2gooz - Second Year  https://chat.whatsapp.com/VxNFT5KfNwF3jCP9nKMxZ5 - Third Year  https://chat.whatsapp.com/FtLMmJCalAnHP7OXjOypNB BAED First year  https://chat.whatsapp.com/MN3LRxpw0gILjlL1VZaWJo         Second Year  https://chat.whatsapp.com/U2f9p3u7kii72ifwSVDQFd         Third year  https://chat.whatsapp.com/HjTv3PTmu6sD1rYaSc2g77 COED - BEDPPM, BEDGUCO      First year  https://chat.whatsapp.com/S7MrbXmIH172JMfAWCB8Y8      Second year  https://chat.whatsapp.com/TTPkP6QwqKVCQWcajp75Re      Third year     https://chat.whatsapp.com/MHYl9WstIJhQnBfHutueu89 University of Dar es Salaam (UDSM) First ye